Ezekiel 1:24

24 aViumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao, kama ngurumo ya maji yaendayo kasi, kama sauti ya Mwenyezi,
Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
kama makelele ya jeshi. Waliposimama kimya walishusha mabawa yao.

Copyright information for SwhNEN